LIVERPOOL YAZINDUA JEZI MPYA ZITAKAZOTUMIKA KWENYE KUMBUKUMBU YA KUFIKISHA MIAKA 125

Klabu ya Liverpool imezindua jezi mpya zitakazotumika kwa michezo ya nyumbani msimu ujao ambazo ni maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya kufikisha miaka 125.
Jezi hizo zitavaliwa hadharani kwa mara ya kwanza kwenye mchezo wa EPL dhidi yaMiddlesbrough utakaopigwa Anfield May 21, mchezo wa mwisho wa Liverpool msimu wa 2016/2017.





Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.