VIDEO: KOCHA AZAM NILIJUA TOKA ASUBUHI KUWA NITAFUNGWA NA SIMBA



Baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup kuchezwa leo kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mchezo ambao Azam FC alifungwa kwa goli 1-0 lililofungwa na MO Ibrahim dakika ya 48.


Mchezo ulipomalizika kocha msaidizi wa Azam FC Iddi Cheche alipata nafasi ya kuongea na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali lakini kubwa alishitusha watu aliposema kuwa dalili za kufungwa aliziona toka asubuhi ya mchezo huo.
GOAL & HIGHLIGHTS: Simba vs AzamFC April 29 2017, Full Time 1-0 

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.