VIDEO: NGOMA YA DARASA SERIKALI IACHE MANENO IWEKE MUZIKI' -CHENGE..




Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge amesema atalazimika kuiambia serikali iache maneno baaya ya kuwa imepita muda mrefu hadi sasa ikiahidi kufanya ujenzi wa barabara katika jimbo lake huku utekelezaji ukichukua muda mrefu.

Chenge amesema…>>>‘Kwa mwaka huu nakubaliana na serikali kuhusu madai yao kwamba wamekamilisha upembuzi kuhusu ujenzi wa barabara jimboni kwangu, mwaka kesho kama ikiendelea hivi mimi nitasema waache maneno waweke muziki’


Full video ipo tayari gapa chini na ni ruksa kuitazama…









Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.