CCM WAANDAMANA MBELE YA MAGUFULI


Image result for NEMBO YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Moshi. Waandamanaji ambao ni wanachama wa CCM wamevifunika vyama vingine katika maadhimisho ya Mei Mosi yanayoendelea katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi.
Kundi hilo la wanachama wa CCM wakiwa wamevalia sare zenye rangi za chama hicho za njano na kijani, lilipita mbele ya jukwaa kuu, wakiimba nyimbo za kumsifu Rais Magufuli na CCM.

Ingawa mshereheshaji alisema walivialika vyama vyote, lakini ni wafuasi wa CCM ndio waliojitokeza wakiingia kwa mbwembwe nyingi uwanjani hapo.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.