MADEREVA 6 WALOGHUSHI VYETI WAHUKUMIWA KWENDA JELA

MADEREVA 6 WALIOGHUSHI VYETI WAHUKUMIWA KWENDA JELA


Madereva sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wamehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ya kughushi vyeti vya kidato cha nne na kujipatia ajira.

Hukumu hiyo imetolewa leo  na Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kilwa, Gabriel Ngaeje baada ya kuridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mahakamani.

Madereva waliohukumiwa ni Juma  Sungura, Issa Abdurahman, Abdul Chubi, Dactuce Joseph, Ahmad Selemani na Abdallah Kilolopera.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.