JINA LA KWANZA LA MTUMISHI MWENYE CHETI FEKI ALILOLITAJA RAIS MAGUFULI




Rais John Magufuli

Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti hiyo.

Alimtaja mtu huyo kuwa ni Abadallah Polea, ingawa hakueleza ni wa wapi na aliajiriwa katika sekta ipi ya umma.

Amekabidhiwa ripoti hiyo na Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki mjini Dodoma leo

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.