MKEMI AFUNGULIWA MASHITAKA NA BODI YA LIGI KUU

Mjumbe wa kamati ya Utendaji ya Yanga afunguliwa mashitaka Bodi ya ligi

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi amefunguliwa mashitaka na Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).

TPLB inamtuhumu Mkemi kutoa matamshi ya kuudhi dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.