RAIS MAGUFULI ADHURIA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MJINI MOSHI

Rais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa, Waziri Jenista Joakim Mhagama Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Rais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi,Spika wa Bunge Job Ndugai ,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Jenista Joakim Mhagama Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik

Maandamano ya wafanyakazi wakipita mbele ya Rais Jogn Magufuli katika Viwanja vya ushirika mjini Moshi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.