VIDEO: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE HARUSI YA MADAM FLORA JIJINI MWANZA


Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry ambaye anafahamika sasa kimuziki kama Madam Flora amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.

Ndoa ya Madam Flora na Daudi Kusekwa imefanyika jijini Mwanza.
Hii hapa video ya harusi yao

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.