HII HAPA HOTUBA NZIMA YA RAISI MAGUFULI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI YALIYOFANYIKA MJINI MOSHI-KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo May 1, 2017 amehutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Ushirika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Kila ifikapo May 1 kila mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Wafanyakazi ikiwa ni kutambua, kuthamini, kujali na kuheshimu mchango wao katika maendeleo ya Dunia kwa ujumla ambapo katika kuiadhimisha siku hii Tanzania imekuwa na kauli mbiu inayosema: ‘Uchumi wa Viwanda uzingatie Haki, Maslahi na Heshima kwa Wafanyakazi’.
Hii hapa viedo yake

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.